J FLANI :AREJEA KIVINGINE BAADA YA KUFANYA KAZI NA PRODUCER DEEY CLASSIC
Msanii
Wa Muziki Mwenye Asili Ya Nchini Kenya Ambaye Amekuwa Akifanya Mziki
Kwa Miaka Kadhaa Na Kuelekeza Talanta Yake Nchini Tanzania Kwa Kufanya
Kazi Na Watayarishaji Wa Muziki Mahiri Hapa Nchini Tanzania Hasa Katika
Tasnia Ya Muziki Wa Hiphop Kama Vile Deey Classic Pamoja N Q The Don.
Jamaa
Flani A.K.A Jflani Ni Moja Ya Msanii Mwenye Mtazamo Chanya Sana Katika
Muziki Wake Jambo Ambalo Linamfanya Kuwa Moja Kati Ya Watu Wanaopenda
Ubora Zaidi Katika Kazi Zake Na Kwa Mara Ya Kwanza Jflani Anakuletea
Kazi Yake Mpya Ambayo Anakiri Kuifanya Katika Kiwango Cha Juu Zaidi
Kuwahi Kufanya Wimbo Unaitwa NITAKUWEZAJE Akiwa Amemshirikisha Mrembo
Icome Na Video Kutayarishwa Na Kuongozwa Na Dir Simon Spk Chini Ya
Nyasha Music.
Karibu Kutazama Wimbo Huu Mpya Na
Kushare Pamoja Na Marafiki Na Unaweza Kuwa Karibu Zaidi Na Instagram Ya
@Jflani Ili Kufahamu Zaidi Na Zawadi Zitatolewa Kwa Atakayekuwa Makini
Zaidi.


0 Comments