Coronavirus: Congo DRC yathibitisha kisa cha kwanza cha virusi vya Corona

Mhudumu wa afyaHaki miliki ya pichaREUTERS
Kisa cha kwanza cha virusi vya Corona kimethibitishwa nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo. Msemaji wa wizara ya Afya amesema Jumanne.
Mgonjwa huyo ni raia wa Ubelgiji ambaye alikuwa amewekwa karantini baada ya uchunguzi aliofanywa katika uwanja wa ndege wa Kinshasa kubaini kuwa ameambukizwa virusi hivyo.
Tutakufahamisha habari zaidi tukapozipokea.

Post a Comment

0 Comments