MUIGIZAJI Mkongwe wa filamu hapa nchini, Salome Nonge maarufu kwa jina la Mama
Abdul amefariki dunia leo Januari 25, akiwa nyumbani kwake maeneo ya Mburahat Jijini Dar es Salaam.
Taarifa za kifo chake zimethibitishwa na Msemaji wa Chama cha Waigizaji Kinondoni, Masoud Kaftany.

1 Comments
RIP
ReplyDelete