Shirika la Afya duniani limeutangaza mlipuko wa virusi vya corona kuwa ni janga la kimataifa huku mlipuko huo ukiendelea kusambaa katika mataifa mbalimbali duniani...
Mkuu WHO Dkt Tedros Adhanom Ghebreyesus amesema kuwa idadi ya visa nje ya Uchina vimeongezeka mara 13 kwa kipindi cha majuma mawili yaliyopita
Amesema kuwa "anahofu kubwa " kutokana na "viwango vya maambukizi " ya virusi.
Janga ni ugonjwa ambao unasambaa katika nchi nyingi kote duniani kwa wakati mmoja.
Tunaendelea kukupa maelezo zaidi juu ya taarifa hii...
0 Comments