Miaka 15 baada ya kutokuwa na mawasiliano na mama yake, mfanyakazi mhamiaji amekutana tena na mama yake baada ya taarifa hiyo kupeperushwa hewani na BBC Indonesia.
Kama mtoto, Iwan alikimbia vita nyumbani na kupoteza mawasiliano kabisa na familia yake. Kukosa kwake stakabadhi kumefanya iwe vigumu kupata usaidizi ama kurejea kwao.
Mama amekutana na mtoto wake baada ya miaka 15. Mtoto huyo alikimbia vita kwao na kupoteza mawasiliano kabisa na familia yake.
0 Comments