Coronavirus: WHO yaonya mataifa ya Afrika 'yajiandae kwa hali mbaya'

Waziri wa afya Tanzania, Bi. Ummy Mwalimu
Image captionWaziri wa afya Tanzania, Bi. Ummy Mwalimu
Tanzania imeripoti kuongezeka kwa visa viwili zaidi vya maambukizi ya virusi vya corona, huku Shirika la afya duniani likilionya bara la Afrika kujiandaa kwa hali mbaya zaidi ya virusi hivyo.
Kuongezeka kwa visa viwili kunaifanya Tanzania kuwa na idadi ya visa vya coronavirus vitano baada ya visa vingine vitatu kutangazwa mapema wiki hii.
Taarifa kutoka wizara ya afya inasema ku wanaoishi jijini Dar es Salaam.
Mgonjwa wa kwanza alisafiri katika mataifa ya Uswiss, Denmark na Ufaransa kati ya tarehe 5 na 13 Machi na kurejea nchini tarehe 14 Machi 2020.
Mwanaume wa pili alisafiri nchini Afrika akusini baina ya tarehe 14 na 16 Machi na kurudi nchini Tanzaniatarehe 17 Machi 2020.
Kwamujibu wa Wizara ya afya wanaoume hao wote wawili wametengwa.

Unaweza pia kusoma:

Maafisa wanashughulika kuwatambua watu wengine 46 mjini Arusha, Kaskazini mwa Tanzania na wengine 66 walioko Dar es Salaam wanaoaminiwa kutangamana na wagonjwa wa coronavirus.
Awali Waziri wa afya Ummy Mwalimu alisema kuwa serikali inashirikiana na shirika la afya duniani-WHO na wadau katika kuendelea kutekeleza mikakati ya kukabiliana na ugonjwa huu".
Raia wametakiwa kuchukua tahadhari ya kujikinga na ugonjwa huu kadri wanavyopokea taarifa na elimu za mara kwa mara kwa njia mbalimbali.
Katika hatua ya hivi punde ya kukabiliana na mlipuko wa coronavirus Serikali imetangaza kupiga marufuku kuwatembelea wafungwa.

Afrika inapaswa kuamka

Mkuu wa WHO, Tedros Adhanom Ghebreyesus, anasema Afrika inaweza kuwa na hali mbaya zaidi ya virusi vya corona
Image captionMkuu wa WHO, Tedros Adhanom Ghebreyesus, anasema Afrika inaweza kuwa na hali mbaya zaidi ya virusi vya corona
Hayo yanajiri huku Barani Afrika kukiwa na jumla ya ujumla vifo 16 vilivyoripotiwa : Sita nchini Misri, sita nchini Algeria, wawili Morocco, mmoja Sudan na mmja wa Burkina Faso.
Afrika walau ni bara lililoathirika kwa kiwango cha chini likilinganishwa na mabara mengine, lakini wataalamu wa afya wanaonya kuwa mifumo duni ya afya ya umma inaweza kuzidiwa uwezo haraka.
Mkuu wa WHO, Tedros Adhanom Ghebreyesus, ananukuliwa na shirika la habari la AFP akisema , "Afrika inapaswa kuamka... katika nchi nyingine, tumeona jinsi virusi vikiongezeka kwa kasi baada ya kugundulika kwa kisa kimoja ."
Mauritius ni taifa la hivi karibuni kuthibitisha visa vya coronavirusHaki miliki ya pichaGETTY IMAGES
Image captionMauritius ni taifa la hivi karibuni kuthibitisha visa vya coronavirus
Burkina Faso alitangaza kifo chake cha kwanza kiliwa ni cha kwanza kutokea kusini mwa jagwa la sahara barani Afrika siku ya Jumatatu - mwanamke mwenye umri wa miaka 64 aliyekua na ugonjwa kisukari.
Maafis anchini humo wanasema mgonjwa alikua ni Rose Marie Compaoré, makamu wa rais katika bunge la taifa.
Nchini Afrika Kusini, visa vilivyorekodiwa viliongezeka kwa kiwango kikubwa na kufiia 116 siku ya Jumatano, vingi kati yake vikiwahusisha watu ambao wamekua Ulaya.
Idadi hiyo inahusisha maambukizi ya ndani ya nchi ya watu 14.

Unaweza pia kutazama:

Lakini je kuna haja ya kutumia barakoa?

Ramani ya Coronavirus: Kasi ya kusambaa kwa virusi 20 Machi 2020

Maelezo haya yanatokana na data za mara kwa mara kutoka Chuo kikuu cha Johns Hopkins na huenda yasiangazie hali halisi ya mambo yalivyo katika kila nchi.
Jumla ya visa vilivyothibitishwaJumla ya vifo
245,06110,037
VisaVifo
Uchina81,1933,252
Italia41,0353,405
Iran18,4071,284
Uhispania18,077833
Ujerumani15,32044
Marekani14,161205
France10,997372
Korea Kusini8,65294
Uswizi4,16443
Uingereza3,269144
Netherlands2,46076
Austria2,0136
Belgium1,79521
Norway1,7817
Sweden1,43911
Denmark1,1516
Japan94333
Malaysia9002
Canada86212
Ureno7854
Mili ya Diamond Princess7127
Jamuhuri ya Czech694
Australia6816
Israel677
Brazil6216
Ireland5573
Ugiriki4646
Qatar460
Kashmir inayotawaliwa na Pakistan4542
Finland400
Uturuki3594
Poland3555
Singapore345
Chile342
Luxembourg3354
Iceland3301
Slovenia3191
Indonesia30925
Bahrain2781
Romania277
Saudi Arabia274
Thailand2721
Estonia267
Ecuador2603
Misri2567
Peru2341
Ufilipino21717
Urusi1991
India1944
Iraq19213
Lebanon1574
Afrika Kusini150
Kuwait148
San Marino14414
Milki za Kiarabu140
Panama1371
Argentina1283
Slovakia1231
Armenia122
Mexico1181
Croatia1101
Taipei ya China1081
Bulgeria1073
Serbia103
Colombia102
Uruguay94
Algeria909
Costa Rica871
Latvia86
Vietnam85
Brunei Darussalam75
Andorra74
Hungary731
Visiwa vya Faroe72
Jordan69
Cyprus67
lbania642
Morocco632
Bosnia na Herzegovina63
Sri Lanka60
Malta53
Belarus51
Moldova491
Lithuania48
Macedonia Kaskazini48
Oman48
Ukingo wa Magharibi47
Azerbaijan441
Kazakhstan443
Venezuela42
Georgia40
Tunisia391
New Zealand39
Cambodia37
Jamuhuri ya Dominica342
Guadeloupe33
Burkina Faso331
Senegal31
Liechtenstein28
Kisiwa cha Reunion28
Ukrain263
Martinique231
Uzbekistan23
Afghanistan22
Bangaldesha171
Cuba161
Bolivia15
Jamaica151
Jamuhuri ya kidemokrasia ya Congo14
Maldivers13
Cameroon13
Paraguay13
Montenegro13
Guam12
Nigeria12
Honduras12
Ghana11
Guiana ya Ufaransa11
Monaco10
Jersey10
Gibraltar10
Guatemala91
Cote d'voire9
Trinidad and Tobago9
Rwanda8
Ethiopia7
Guyana71
Kenya7
Mauritius7
Equitorial Guinea6
Polynesia ya Ufaransa6
Mongolia6
Ushelisheli6
Tanzania6
Aruba5
Barbados5
Puerto Rico5
Saint Martin (Eneo la Ufaransa)4
Mayotte4
Bahamas3
Visiwa vya Cayman31
Netherlands Antilles31
Kyrgystan3
Namibia3
Saint Barthélemy3
Visiwa vya Virgin vya Marekani3
Congo3
Benin2
Kosovo2
Liberia2
Mauritania2
Saint Lucia2
Sudan21
Zambia2
Greenland2
Vatican1
Antigua na Barbuda1
Chad1
Djibouti1
El Salvador1
Eswatini1
Fiji1
Gabon1
Gambia1
Guinea1
Jamuhuri ya Afrika ya Kati1
Montserrat1
Nepal1
Nicaragua1
Niger1
St St Vincent na Gradines1
Somalia1
Suriname1
Togo1
Guernsey1
Bhutan1

Chanzo: Chuo kikuu cha Johns Hopkins (Baltimore, Marekani), maafisa wa eneo
Mara ya mwisho kufanyiwa mabadiliko 20 Machi 2020, 05:00 GMT +1.


Post a Comment

0 Comments