Coronavirus: Ramani inayoonesha idadi ya watu walioambukizwa na waliofariki kutokana na virusi vya corona duniani

Dargaggoo maaskii godhateHaki miliki ya pichaGETTY IMAGES
Mlipuko wa virusi vya corona unaosababisha ugonjwa wa Covid-19, ulitokea katika mkoa wa Hubei nchini China.
Tayari virusi hivyo vimesambaa katika mabara yote duniani isipokuwa Antarctica.
Kufikia sasa kinachojulikana ni kuwa Covid-19, ni ugonjwa ambao unaothiri mfumo wa kupumua wa binadamu.
Dalili zake ni pamoja na homa kali, kukohoa ambako baada ya wiki moja muathiriwa anakabiliwa na tatizo la kupumua.
Unaweza kufuatilia kwenye ramani ifuatayo kufahamu zaidi kuhusu hali ya maambukizi na na vifo vilivyotokana na ugonjwa huo duniani

Ramani ya Coronavirus: Kasi ya kusambaa kwa virusi 20 Machi 2020

Maelezo haya yanatokana na data za mara kwa mara kutoka Chuo kikuu cha Johns Hopkins na huenda yasiangazie hali halisi ya mambo yalivyo katika kila nchi.

Post a Comment

0 Comments