Coronavirus: Mtu wa kwanza ajitolea kufanyiwa chanjo ya virusi vya corona Marekani



vaccineHaki miliki ya pichaGETTY IMAGES

Binadamu wa kwanza kufanyiwa jaribio ya chanjo ya kinga dhidi ya virusi vya corona ameanza kufanyiwa jaribio hilo nchini Marekani.
Wagonjwa wanne walidungwa sindano ya virusi katika kituo cha utafiti Kaiser Permanente mjini Seattle, Washington, limeripoti shirika la habari la Associated Press.
Chanjo hiyo haiwezi kusababisha Covid-19 lakini ina jeni la virusi ambavyo vinaweza kusababisha ugonjwa.
Wataalamu wanasema itachukua miezi mingi kujua ikiwa chanjo hii, au utafiti mwingine, utafanikiwa.


Matumizi ya kemikali ya kuua wadudu na vimelea kwa kusafisha mikono imetajwa kuwa moja ya njia ya kuepuka maambukizi ta virusi vya coronaHaki miliki ya pichaAFP
Image captionMatumizi ya kemikali ya kuua wadudu na vimelea kwa kusafisha mikono imetajwa kuwa moja ya njia ya kuepuka maambukizi ta virusi vya corona

Mtu wa kwanza kujitolea kupata dozi ya kwanza ya utafiti huo siku ya Jumatatu ni mama wa watoto wawili mwenye umri wa miaka 43 mkazi wa Seattle Washington.
"Hii ni fursa ya kufurahisha kwangu mimi kuweza kufanya kitu fulani,"alisema mama huyo aliyetambuliwa kama Jennifer Haller katika mazungumzo na shirika la habari la AP.
Wanasayansi kote duniani wanaharakisha utafiti wao kujaribu kupata chanjo au tiba ya coronavirus.
Na jaribio hili la kwanza kwa binadamu,lililodhaminiwa na Taasisi ya Kitaifa ya Afya nchini Marekani, umefanyika kando ili kuangalia kile ambacho kwa kawaida kingekua kikifanyika kuhakikisha chanjo inaweza kusababisha kuchochewa kwa kinga ya mwili katika wanyama.
Lakini kampuni ya teknolojia ya masuala ya vimelea wa magonjwa ambayo ndiyo inayoendesha utafiti huo, Moderna Therapeutics, inasema kuwa chanjo imekwishakutengenezwa kwa kutumia mchakato uliojaribiwa na kupimwa.


Taarifa za coronavirus

Binadamu wa kwanza kufanyiwa jaribio ya chanjo ya kinga dhidi ya ugonjwa wa corona ameanza kufanyiwa jaribio hilo nchini Marekani.
Wagonjwa wanne walidungwa sindano ya virusi katika kituo cha utafiti Kaiser Permanente mjini Seattle, Washington, limeripoti shirika la habari la Associated Press.
Chanjo hiyo haiwezi kusababisha Covid-19 lakini ina jeni la virusi ambavyo vinaweza kusababisha ugonjwa.
Wataalamu wanasema itachukua miezi mingi kujua ikiwa chanjo hii, au utafiti mwingine, utafanya.


Unachotakiwa kuzingatia kuhusu coronavirus

Mtu wa kwanza kujitolea kupata dozi ya kwanza ya utafiti huo siku ya Jumatatu ni mama wa watoto wawili mwenye umri wa miaka 43 mkazi wa Seattle Washington.
"Hii ni fursa ya kufurahisha kwangu mimi kuweza kufanya kitu fulani ,"alisema mama huyo aliyetambuliwa kama Jennifer Haller katika mazungumzo na shirika la habari la AP.
Wanasayansi kote duniani wanaharakisha utafiti wao kujaribu kupata chanjo au tiba ya coronavirus.
Na jaribio hili la kwanza kwa binadamu, lililodhaminiwa na Taasisi ya Kitaifa ya Afya nchini Marekani , umefanyika kando ili kuangalia kile ambacho kwa kawaida kingekua kikifanyika kuhakikisha chanjo inaweza kusababisha kuchochewa kwa kinga ya mwili katika wanyama.
Lakini kampuni ya teknolojia ya masuala ya vimelea wa magonjwa ambayo ndiyo inayoendesha utafiti huo -Moderna Therapeutics, inasema kuwa chanjo imekwishakutengenezwa kwa kutumia mchakato uliojaribiwa na kupimwa.


Chati inayoonyesha dalili za coronavirus
Image captionChati inayoonyesha dalili za coronavirus

Dkt John Tregoning, mtaalamu katika magonjwa ynayoambukia katika taasisi ya Imperial College mjini London, Uingereza,amesema: "Chanjo hii imetumia Teknolojia iliyokuwepo awali.
"Imefanyika kwa kiwango cha hali ya juu, kwa kutumia vitu ambavyo tunavyofahamu ni salama kuvitumia katika watu na wale wanaoshiriki katika jaribio hili watakua wakifuatiliwa kwa karibu sana.
"Ndio, hili limefanyika haraka sana-lakini ni mbio dhididi ya virusi, sio dhidi ya kati ya mwanasayansi na mwanasayansi , na inafanyika kwa manufaa ya binadamu ."
Chanjo halisi ya virusi kama vile vinavyosababisha magonjwa kama surua(ukambi) hutengenezwa kutokana na virusi vilivyodhoofishwa au vilivyokufa.
Lakini chanjo ya mRNA-1273 haijatengenezwa kutokana na virusi vinavyosababisha Covid-19.
Badala yake, inajumuisha kipande kifupi cha aina ya jeni iliyonakiliwa kutoka kwa virusi ambavyo wanasayansi wamemeweza kuvitengeneza katika maabara.

Unaweza pia kusoma:

Chanjo hii huenda ikasaidia mwili kujitengenezea mfumo wake wa kinga wa kupigana na ugonjwa halisi.
Waliojitolea kufanyiwa jaribio la chanjo walipewa dozi tofauti za jaribio la chanjo.
Kila mmoja atadungwa sindano mbili za virusi kwa ujumla, baada ya siku 28, kwenye mshipa wa sehemu ya juu ya mkono.
Lakini hata kama vipimo vya awali salama vimefanikiwa, bado inaweza kuchukua hadi miezi 18 kuweza kuwa na uwezekano wowote wa chanjo kuweza kupatikana kwa umma.

Ramani ya Coronavirus: Kasi ya kusambaa kwa virusi 17 Machi 2020

Maelezo haya yanatokana na data za mara kwa mara kutoka Chuo kikuu cha Johns Hopkins na huenda yasiangazie hali halisi ya mambo yalivyo katika kila nchi.
Jumla ya visa vilivyothibitishwaJumla ya vifo
181,9687,153



VisaVifo
Uchina81,0493,230
Italia27,9802,158
Iran14,991853
Uhispania9,942342
Korea Kusini8,32082
Ujerumani7,27217
France6,637148
Marekani4,59485
Uswizi2,33019
Uingereza1,54455
Netherlands1,41324
Norway1,3473
Sweden1,1217
Belgium1,0585
Austria1,0183
Denmark9143
Japan82527
Mili ya Diamond Princess6967
Malaysia566
Qatar439
Canada4134
Australia3773
Ureno3311
Ugiriki3314
Jamuhuri ya Czech298
Finland277
Israel255
Slovenia2531
Singapore243
Bahrain2141
Estonia205
Brazil200
Kashmir inayotawaliwa na Pakistan183
Iceland180
Poland1774
Ireland1692
Romania168
Chile155
Misri1502
Thailand1471
Ufilipino14212
Indonesia1345
Saudi Arabia133
Iraq12410
Kuwait123
India1192
San Marino1097
Lebanon993
Milki za Kiarabu98
Urusi93
Peru86
Luxembourg771
Slovakia72
Taipei ya China671
Afrika Kusini62
Vietnam61
Serbia57
Croatia57
Argentina562
Panama551
Brunei Darussalam54
Colombia54
Algeria544
Mexico53
Armenia52
Bulgeria522
lbania511
Uturuki47
Maeneo ya Wapalestina43
Hungary391
Ecuador372
Morocco371
Belarus36
Costa Rica35
Latvia34
Cyprus33
Georgia33
Malta30
Moldova29
Uruguay29
Sri Lanka28
Bosnia na Herzegovina25
Senegal24
Oman22
Afghanistan21
Tunisia20
Macedonia Kaskazini18
Visiwa vya Faroe18
Jordan17
Lithuania17
Venezuela17
Guiana ya Ufaransa16
Martinique151
Burkina Faso15
Azerbaijan151
Maldivers13
Jamuhuri ya Dominica11
Bolivia11
Jamaica10
Kazakhstan10
Kisiwa cha Reunion9
New Zealand8
Jersey8
Uzbekistan8
Bangaldesha8
Paraguay8
Rwanda7
Monaco7
Cambodia7
Ukrain71
Ghana6
Guadeloupe6
Honduras6
Ethiopia5
Cuba4
Guyana41
Liechtenstein4
Mongolia4
Trinidad and Tobago4
Cameroon4
Guam3
Puerto Rico3
Polynesia ya Ufaransa3
Saint Barthélemy3
Ushelisheli3
Kenya3
Aruba2
Guatemala21
Kosovo2
Namibia2
Nigeria2
Saint Lucia2
Saint Martin (Eneo la Ufaransa)2
Andorra2
Jamuhuri ya kidemokrasia ya Congo2
Benin1
Bhutan1
Visiwa vya Cayman11
Jamuhuri ya Afrika ya Kati1
Congo1
Cote d'voire1
Netherlands Antilles1
Equitorial Guinea1
Eswatini1
Antigua na Barbuda1
Greenland1
Guernsey1
Guinea1
Vatican1
Liberia1
Mauritania1
Mayotte1
Nepal1
Congo1
St St Vincent na Gradines1
Somalia1
Sudan11
Suriname1
Tanzania1
Bahamas1
Togo1
Gabon1



Post a Comment

0 Comments