BREAKING NEWS: Mzee Majuto afariki dunia Muhimbili Hosp.

Mchekeshaji Mzee Majuto leo amefariki dunia baada ya kuugua muda mrefu ikiwa ni baada ya kurejea Dar es Salaam na kulazwa Muhimbili Hospitali akitokea India kwenye matibabu.
BREAKING: MZEE MAJUTO AWAJIBU WALIOMZUSHIA KIFO “MIMI SIOGOPI KUFA”

Post a Comment

0 Comments